Kila kwenye kundi la watu, Kuna mtu huniambia nafanana na mtu aliyewahi kumuona mahali au anayemfahamu

Mim nimewahi nyimwa tunda kwamba nafanana na mjomba ake. Kwahiyo kufananiswa ni kawaida. Kuna mzee hapa nilipo anafanana copy na marehem babu yangu yani sura paka vimo kama pacha wake
 
Omba usije ukafananishwa na kibaka ukashushiwa kipigo kizito
 
Tuwekee picha tukuone pengine ni kweli..
 
Jana tu kuna watu walikuwa wananifananisha na mtu mwingine,binafsi sipendi kufananishwa na mtu mwingine ile hali iliniharibia mood.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…