The Masterpiece
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 562
- 1,544
Ina faida na hasara zake ila hasara ni nyingi zaidi, huwa inanitokea mara nyingi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli, kufanana na kibaka utachomwa moto siku moja. Anza kuvaa kanzu na baragashee.😅😅😅 Niko serious, hii kitu Kuna siku itakuja nisababishia tatizo
Tuwekee picha tukuone pengine ni kweli..Ni matumaini yangu mpo salama kabisa.
Wakuu hii tabia ya kuwa kwenye kusanyiko lolote au unakutana na watu tofahuti Kila mara halafu wananambia nimefanana na mtu eidha aliyewahi kumuona au anayemfahamu imenichosha na naona kabisa inanikera.
Hivi Kuna mtu yeyote aliyewahi au anayekutana na hii Hali? Na anawezaje kujibu maswali ya; hivi unamfahamu fulani? Ni ndugu Yako? Syo ndugu Yako kivipi? Mbona mmefana sana?
Kuna wakati huwa nahisi mtu atafanya uhalifu halafu nifananishwe Mimi.
Hello, kama Kuna msaada tafadhali naombeni haya maswali wasiniulize Tena, yanachosha.