Kila la heri Arab teams katika ushindi wa leo

Kila la heri Arab teams katika ushindi wa leo

Warabu walopita wawili tu wengine chalii hahaha
Nina matumaini makubwa na hawa majirani zetu na ndugu zetu waliopo ndani ya bara la Afrika, Algeria, Morocco, Tunisia na Egypt, naimani nao watafika mbali na kutukndolea machungu.

I wish all the best to all four teams from North africa, tunawapenda pia.
 
Timu za Afrika zilizoweza kufuzu world cup 2022 ni
-Ghana
-Senegal
-Cameroon
-Tunisia
-Morocco
 
Egypt kauwawa kwa matuta, Algeria kauwawa dakika za nyongeza kwenye extra time.

Wameuwawa kikatili mnoo.
 
Back
Top Bottom