Mpira ukiisha ntawataja [emoji23]Watu gani mkuu? Hahaaa
Au wale walioshona magauni yenye bendera za Tanzania.
Kwa jinsi asivyo na adabu anaweza sema wachezaji ni wanachama wa Chadema na ACTSenegal piga hao nzi wa kijani wa Stars. Pole pole alisema Stars wakishinda ni matokeo ya utekelezaji wa sera za ccm namsubiri tufungwe nione atasema stars wanatekeleza sera ya nani
Tatizo aliyeingiaa sidhani Kama Ni sahihiFeib toto nje. Kocha kafanya maamuzi sahihi kabisa.
Mushi nkidah saa, koamuo isesa saa!Yaaani huu ni uquma kweli.. hamna kiungo mpira unapita katikati ya uwanja free.. Aaaaaahhhhh
Ndo anafaa kuwa man of the matchKatika watu wanafanya kazi ni pamoja na huyu Kipa aisee.
Mkuu hili neno sio zuri,utaitwa kamati ya maadiliTaifa Stars ni dhaifu saaa
Anajitahidi sio siriKatika watu wanafanya kazi ni pamoja na huyu Kipa aisee.
Kagusa mipira miwili au kagusa mpira mara mbiliSamata kagusa mipira miwili 2
Pumbavu umekaa kimajungu tu.Huyo ndiyo kocha bora kabisa katika Tanzania tokea taifa hili lipate Uhuru.Muda huu mechi kati ya Tanzania na Senegal inaendelea, wale tunaoangalia hii mechi mimi naona uchezaji wa timu yetu si mzuri maana rafu za ovyo na kujikanganya kwingi. Amunike anatufaa?