Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kama tungekuwa tuna kubali ukweli mchungu yasinge tukuta haya kipindi cha kwanza ila sisi wa Tanzania tunapenda uwongo mtamu.licha bado na matumaini game kuisha 1-1au 2-1.
 
Substitution gani dakika ya 43 na mtu hajaumia....dah!!
 
Kadi nyekundu leo ikikosekana kwa upande wetu, basi huyu refa atakua na undugu na watanzania. Kiukweli tumezidiwa kila idara. Wapambanaji wangu Msuva, Boko na Samatta; hadi wanatia huruma kwa namna wanavyo lipigania Taifa lao.

Ahueni half time! Presha iko juu kweli kweli! Kumbe bado uzalendo upo.
 
Muda huu mechi kati ya Tanzania na Senegal inaendelea, wale tunaoangalia hii mechi mimi naona uchezaji wa timu yetu si mzuri maana rafu za ovyo na kujikanganya kwingi. Amunike anatufaa?
Pumbavu umekaa kimajungu tu.Huyo ndiyo kocha bora kabisa katika Tanzania tokea taifa hili lipate Uhuru.
 
Back
Top Bottom