macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mtalaumu lkn tatizo ni mpira wetu ni wa chini ya kiwango. Tukubali tu kujifunza mpira tangu utotoni.Muda huu mechi kati ya Tanzania na Senegal inaendelea, wale tunaoangalia hii mechi mimi naona uchezaji wa timu yetu si mzuri maana rafu za ovyo na kujikanganya kwingi. Amunike anatufaa?