Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Muda huu mechi kati ya Tanzania na Senegal inaendelea, wale tunaoangalia hii mechi mimi naona uchezaji wa timu yetu si mzuri maana rafu za ovyo na kujikanganya kwingi. Amunike anatufaa?
Mtalaumu lkn tatizo ni mpira wetu ni wa chini ya kiwango. Tukubali tu kujifunza mpira tangu utotoni.
 
Mwantika ananibore. Wasituumizie Wasenegal wetu jamani. Hawa ndo tunaowategemea wachukue kombe.
 
Yapigwe tuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
So far awamu ya tano au juhudi hazihusiki. Tusubiri yaende vizuri waje kuchukua credit.
Ndemeti
 
Kiwango hamna kabisa.. Kipa wa Senegal kurelax tu..mpira wa bongo magazeti. Hamna kiwango kabisa mle..tusidanganyane kwa kiwango hiki tutanusa fainali
 
Back
Top Bottom