macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mtalaumu lkn tatizo ni mpira wetu ni wa chini ya kiwango. Tukubali tu kujifunza mpira tangu utotoni.Muda huu mechi kati ya Tanzania na Senegal inaendelea, wale tunaoangalia hii mechi mimi naona uchezaji wa timu yetu si mzuri maana rafu za ovyo na kujikanganya kwingi. Amunike anatufaa?
Una bahati sana, uzuri mambo mengine hayahitaji akili sana kuyatabiritaifa star wakirudisha goli kipindi cha kwanza najitoa JF simu natupa chooni
Kes na mwantika Ni tatizo mkami feisal hovyo boko na samata hawachez koz wanakosa watu sahihi msuva sio yule tulio mzoeaHuyu mwantika hachezi kwa nidhamu yani tuna matatizo
HahaaaaaaaHT
sisi 1-0 Bashite
Ni muda tu ulifika....Pumbavu umekaa kimajungu tu.Huyo ndiyo kocha bora kabisa katika Tanzania tokea taifa hili lipate Uhuru.
Kiungo ni tatizo!Huyu ndiye Fei Toto tunayeambiwa ni bora kuliko Jonas Mkude?
Kweli hii ni nchi ya V-Wonder ....
Lbda wko kwenye benchi la ufundi [emoji23][emoji23] naoKina Ndugai wapo huko Misri, ni zaidi ya nuksi kwa kweli
Kaanza mwantikaKwa nini Nyoni hajaanza?
Poa mkuuTafuta humu JF imerushwa involving kingu and mcharo
Wanacheza kma wako ndondo cupMuda huu mechi kati ya Tanzania na Senegal inaendelea, wale tunaoangalia hii mechi mimi naona uchezaji wa timu yetu si mzuri maana rafu za ovyo na kujikanganya kwingi. Amunike anatufaa?
Halafu ujinga kama huu mnategemea nani aisapoti timu hii?Utekelezaji wa IlaniView attachment 1136641
Mkude arudishwe Star, aingizwe haraka hii game. Haaaaa haaaaa Fei Toto anakenua tu