Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Huyu Fei toto sijui anacheza nini... yaani sijui itakuwaje.. Huyu amonike ametuletea u mourinho wake wa kuwaacha ajibu na mkude.. ona sasa ameshakula na kadi
Upo sawa,huyu dogo hakupaswa kuwa kiungo wa kuanza kwenye mashindano kama haya,usimba na uyanga tuuweke pembeni
 
Muda huu mechi kati ya Tanzania na Senegal inaendelea, wale tunaoangalia hii mechi mimi naona uchezaji wa timu yetu si mzuri maana rafu za ovyo na kujikanganya kwingi. Amunike anatufaa?
Tatizo ni kocha mimi sina imani naye, sikatai kwamba Senegel ni timu kubwa ila aina ya viungo aliowaita wanavurunda balaa.
 
Very poor performance, team inabidi ijipanfe upya kwa kweli, shots 2 on target 0
 
Pumbavu umekaa kimajungu tu.Huyo ndiyo kocha bora kabisa katika Tanzania tokea taifa hili lipate Uhuru.
Of course kocha tumpe sifa zake ila sidhani kama no kweli kwamba yeye ndiye kocha bora kabisa kuwa kutokea,kumbuka Tanzania ishawahi kufuzu pia kucheza mashindano haya miaka ya nyuma. Kiukweli wachezaji wote ukiondoa Samatta ni hovyo kabisa. Hawana nguvu,hawana nidhamu ya mchezo,hawako accurate,hawana ball control. Nadhani hadi wanakwenda mapumziko naamini Tanzania ndio timu mbovu kuliko zote zilizofuzu japo sijaona mechi zinazokuja. Sidhani hata kama timu ilofuzu miaka ya 80's iliwahi kucheza kama ilivyocheza hii kipindi cha kwanza
 
Hapana amekuwq mvivu wa kubadilika na kuwakimbia mabeki...

Hamwoni mwenzake keita....anahama nafasi na kiwachanganya mabeki.
Hao mabeki wa Senegal wenyewe unaona na kuwafahamu mkuu.
 
Zaidi ya kukata viatu sijaona mpira Tanzania. Wasituumizie Mbaye Niang wetu jamani. Senegal inategemea kufika final. Mwantika anabore hadi refa aliamua kumfokea. Mwantika anachezea team gani hapa Bongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…