Sheikh23
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,175
- 1,934
Upo sawa,huyu dogo hakupaswa kuwa kiungo wa kuanza kwenye mashindano kama haya,usimba na uyanga tuuweke pembeniHuyu Fei toto sijui anacheza nini... yaani sijui itakuwaje.. Huyu amonike ametuletea u mourinho wake wa kuwaacha ajibu na mkude.. ona sasa ameshakula na kadi