Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Hivi tatizo ni nini hasa, kwasababu hata ule mori wa kujituma hatuna.
 
Ni kweli, ila kwa hapa tuna tatizo la kocha kuliko wachezaji

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Ata wange jituma kiasigani gep ni kubwa katiyetu na Senegal, wao timu nzima wanacheza Ulaya mbaka Bench. Sasa kocha afanyaje na wachezaji wetu karibu wote wa mchangani. Wametuzid Nguvu na uwezo wa kimpira.
 
Wachezaji Tunao ila hili kocha hamna kitu tulipotea sana kumuacha yule mdenish paulson yaani hii takataka amunike afadhali mara kumi timu angepewa hata minziro au julio
 
Keita anacheza Monaco ila yupo Intermillan kwa sasa kwa mkopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…