Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kubakwa kwa mbinde ni kubakwa tu haiondoi uhalisia kuwa umepigwa mpini tena na makofi juuTukaze ili tupunguze idadi ya magoli. Hilo ndio tutajivunia. Kipigo kipo ila kisiwe cha mbwa koko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubakwa kwa mbinde ni kubakwa tu haiondoi uhalisia kuwa umepigwa mpini tena na makofi juuTukaze ili tupunguze idadi ya magoli. Hilo ndio tutajivunia. Kipigo kipo ila kisiwe cha mbwa koko.
Uganda kacheza na nan?....Madagascar he??? Senegal inashika no 1 Africa na no 22 duniani...sio timu ya mchezomchezo kabisa..Hatuna timu hapa, nimeangalia burundi, madagasca watu wanajituma mbaya sisi watu wanatembea uwanjani + kocha kisirani. Msiwe mnatuhamasisha kuangalia mipira inayoleta hasira.
hata kama wangeshika namba moja duniani hawakuwa na mpira wa kutisha ni kocha letu halina plan bUganda kacheza na nan?....Madagascar he??? Senegal inashika no 1 Africa na no 22 duniani...sio timu ya mchezomchezo kabisa..
Haha kuna watu makauzu humu balaa...yani unashabikia Senegal...si kheri mi nipo neutral...
Yan burundi na hata namibia, wamejitahidi kucheza, ila utofauti wa mchezaji mmoja mmoja ndio ulieghairm, ila sisi hata kucheza mpira tu tumeshindwa. Yan tunabutua butua tu. Hatuilaumu timu yetu kufungwa,ila tunacholaumu ni tumefungwaje?Hatuna timu hapa, nimeangalia burundi, madagasca watu wanajituma mbaya sisi watu wanatembea uwanjani + kocha kisirani. Msiwe mnatuhamasisha kuangalia mipira inayoleta hasira.
Tukijithidi labda tupate sare dhidi ya Kenya! ila magoli yako pale pale! Sisi kinacho tuangusha ni kicha Amunike! Tangu akabidhiwe timu, hana kikosi cha kwanza! Atakavyo amka siku hiyo, ndivyo atakavyo ipanga timu! Tofauti kabisa na timu nyingine mafano Uganda!
Na huyu Hassan jezi no 22 mgongoni anacheza team gani hapa bongo. Anacheza vizuri sana yupo kila mahali.
Balde ni intermilanNawakumbusha tu jamani
Kikosi cha SENEGAL [emoji1211] kilichipo humo
1. Mendy - Rennes, France
2. Wague - Barcelona, Spain
3. Sabaly - Bordeaux, France
4. Sane - Shalke, German
5. Koulibay - Napoli, Italy
6. Ndiaye - Galataslay, Turkey
7. Sar - Rennes, France
8. Gana - Everton, England
9. Niang - Rennes, France
10. Diata - Bruge, Belgium
11. Keita Balde - Juventus, Italy.