Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Hatuna timu hapa, nimeangalia burundi, madagasca watu wanajituma mbaya sisi watu wanatembea uwanjani + kocha kisirani. Msiwe mnatuhamasisha kuangalia mipira inayoleta hasira.
Uganda kacheza na nan?....Madagascar he??? Senegal inashika no 1 Africa na no 22 duniani...sio timu ya mchezomchezo kabisa..
 
Kufungwa sio ishu.. kinachonisikitisha ni poor perfomance ya timu yetu yaan utadhania biashara united ya mara vile.. amunike kikosi chake sijui anakipangiaga wapi yaani daah.. mechi zenyewe tatu tu.!
 
Polepole oyeeeeeee Taifa stars inatekeleza ilani ya jiwe
 
Kama timu ikifanyaga vizur wanasema ni juhudi za Serikali ya awamu ya tano basi hata ikifanya vibaya pia waseme vivyo hivyo....
 
Hatuna timu hapa, nimeangalia burundi, madagasca watu wanajituma mbaya sisi watu wanatembea uwanjani + kocha kisirani. Msiwe mnatuhamasisha kuangalia mipira inayoleta hasira.
Yan burundi na hata namibia, wamejitahidi kucheza, ila utofauti wa mchezaji mmoja mmoja ndio ulieghairm, ila sisi hata kucheza mpira tu tumeshindwa. Yan tunabutua butua tu. Hatuilaumu timu yetu kufungwa,ila tunacholaumu ni tumefungwaje?
 
Asante sana Senegal kulishikisha adabu timu la misifa fc aka siasa fc aka bashite fc.
Usingizi utakua mnono sana kwangu. Nanyi niwatakie usiku mwema huku nikiwaombea majirani zetu Kenya walitandike magoli ya kutosha hili libashite fc siku ya alhamisi.
 
Kama timu ikifanyaga vizur wanasema ni juhudi za Serikali ya awamu ya tano basi hata ikifanya vibaya pia waseme vivyo hivyo....
 
Hatuna uwezo wa mpira hata kocha akiwa Gurdiola full stop.
 
Tanzania wachezaji wa sasahivi wanapewa hela nyingi lakini hakuna talents , hawajitumi , hawana kitu cha ziada na wameshindwa kutumia nafasi kujitangaza nje ya afrika. Juzi raisi mstaafu alisema vilabu viwekeze kwenye timu za watoto viachane na wachezaji wa kutoka nje ya nchi .afadhali sijaangalia mechi yenyewe maana ni masikitiko
Amunike angesema aingie angecheza vizuri kuliko wachezaji wote
 
Balde ni intermilan
 
Kama timu ikifanyaga vizur wanasema ni juhudi za Serikali ya awamu ya tano basi hata ikifanya vibaya pia waseme vivyo hivyo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…