Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Tusije jamani tukageuzwa zulia la kundi C kila timu ikachukua point 3 kutoka kwetu! Sisi wengine tutaishia kuumwa

Hapa nilipo ni kama nakuona vile. Pelekeni vyombo vya dola kama mnavyovitumia hapa nyumbani. Hiyo timu ya ccm inatakiwa isitoke hata na goli moja na ifungwe mechi zote.
 
Uganda kacheza na nan?....Madagascar he??? Senegal inashika no 1 Africa na no 22 duniani...sio timu ya mchezomchezo kabisa..
Mkuu Punguza uzalendo uchwara Pamoja na kuwa wanacheza na team tofauti Ila wenzetu wanaupiga unajua kabisa Wanataka nini

Mfano Jana Burundi kafungwa na Nigeria Ila unaona Burundi walikua wanajua nini wanafanya hapo
Sisi tulikua tunafukuza upepo humo Halafu East Africa Madagascar Congo wenzetu wamepita kwa kupambana ina maana walijiandaa sio sisi ndondokera na huruma ya vijana WA Museven
 
Kiukweli Stars asingeweza kumfunga Senegal...hata sare isingekuwa rahisi..
Senegal ranking: Africa,pos.1 worldwide pos.22
Tanzania ranking:Afrika (sifahamu) worldwide pos.131
Hivyo bas sioni timu ya Africa yenye ubabe kuliko Senegal..
Utabir wa kundi:Kenya hawezi mpiga Senegal hata aingie uwanjani uchi..pia sidhani kama Kenya atamfunga Algeria... Tanzania hata waingie uwanjani kinyumenyume hawezi mfunga Algeria... Sasa vita inabaki kwa bongo na kenya nan awe nusu mkia am a nan awe mkia..Ninavyoona Tanzania na Kenya watakutana wakiwa na sifuri(maoni yangu)..,hivyo kila mmoja atajitahidi kuondoa aibu na gemu itakuwa Kali....
Utabiri wangu kwa bingwa:Senegal au Ivory coast
 
senegal abadilike alitakiwa atupige 4 au 5 kwa jinsi tulivyocheza utumbo. makosa mengi ya hovyo kabisa. yaani mane angecheza ilikuwa ni dhahama leo.
 
Senegal wapenzi sana .........Algeria hawata niangusha nahitaji Dozi nzito sio hizi 2
 
Mfungaji wa goal la pili..... Sijui kwanini FIFA waruhusu sura kama.... Zimewatisha Taifa Star hao tungewafunga dk za mwanzo kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…