Kiukweli Stars asingeweza kumfunga Senegal...hata sare isingekuwa rahisi..
Senegal ranking: Africa,pos.1 worldwide pos.22
Tanzania ranking:Afrika (sifahamu) worldwide pos.131
Hivyo bas sioni timu ya Africa yenye ubabe kuliko Senegal..
Utabir wa kundi:Kenya hawezi mpiga Senegal hata aingie uwanjani uchi..pia sidhani kama Kenya atamfunga Algeria... Tanzania hata waingie uwanjani kinyumenyume hawezi mfunga Algeria... Sasa vita inabaki kwa bongo na kenya nan awe nusu mkia am a nan awe mkia..Ninavyoona Tanzania na Kenya watakutana wakiwa na sifuri(maoni yangu)..,hivyo kila mmoja atajitahidi kuondoa aibu na gemu itakuwa Kali....
Utabiri wangu kwa bingwa:Senegal au Ivory coast