Mr Kaptenovela
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 621
- 618
Alizingua aisee kuruhusu sare ile...ila nadhani ndo timu ya Africa iliyoonyesha kiwango bomba..Pale ilitakiwa aifunge Japan akakosea akapelekeshwa na wajapani
Banda si angeitwa au Nyoni apige mzigo.Kulikua na haja gani ya kumuacha Mwantika mara ya kwanza,kamrudisha halafu kamuanzisha kama mchezaji tegemeo?
Ufaransa inanyanyua makoloni yake kwa kila kitu kuanzia kiuchumi mpaka kimichezo.Alizingua aisee kuruhusu sare ile...ila nadhani ndo timu ya Africa iliyoonyesha kiwango bomba..
tatizo ni ndugai siyo amunikeConlusion; Falsafa za Amunike ni pasua kichwa! Leo tumekwisha. Huyu Himid Mao ni mtu wa nguvu nyingi kuliko akili! Ukija kwa fei toto, siku zote hana uchangamfu akiwa uwanjani! Badala ya kumpanga Erasto Nyoni pale nyuma! Beki zote fupi! unamuacha Abdi Banda kwa sababu zisizoeleweka!
Kwa namna ninavyo mfahamu Kallidou Koulibaly kwenye mipira ya kona; tutegemee goli lake moja. Uganda kwa nini mlitulegezea kwenye ile mechi ya mwisho! Angalieni golikipa wetu anavyoteseka! Sisi na mpira wapi na wapi! Sisi huku tunaweza siasa za ccm na chadema tu.
sio yule babu..kuna kijana
ndiyoSi yule kocha wa vijana...?
utekelezaji wa ilani ya ccm awamu ya tano ''by slowslow''kha πππππππ
Kwan hao wachezaji wa Senegal wamekulia ufaransa?Ufaransa inanyanyua makoloni yake kwa kila kitu kuanzia kiuchumi mpaka kimichezo.
Ndiyo maana Senegal haina vilabu vikubwa . kinda akionyesha talent kama huyu kelvin John anakimbizwa ufaransa kwenda kutengenezwa awe bora zaidi
ndiyo
Halafu nilikukumbuka leo aisee Mtani.
Naona AFCON imekuibua. Kwa hali ile ya jana Mtani matumaini kwa Taifa Stars kwako yakoje?
Halafu nilikukumbuka leo aisee Mtani.
Naona AFCON imekuibua. Kwa hali ile ya jana Mtani matumaini kwa Taifa Stars kwako yakoje?
Tooba! Hujataka uzalendo best.Nilikuwa upande wa Senegal best
Kuna sehemu nilikuquote baada ya kuona umenipotezea nikafuta na mawazo yakawa kwamba tumeongea lugha mbili tofauti. πππMaana nilikutafuta hukuonekana
Mi nililala baada ya first half tu best maana nilikuwa naona mapicha picha tu pale kutoka kwa Stars.Kisa cha kupata pressure!!!!!!
Daah! Ila wacha tushiriki tu Mtani kushindana tuwaachie wengine.Matumaini ni -0.000000000001%
Tooba! Hujataka uzalendo best.
Kuna sehemu nilikuquote baada ya kuona umenipotezea nikafuta na mawazo yakawa kwamba tumeongea lugha mbili tofauti. πππ
Mi nililala baada ya first half tu best maana nilikuwa naona mapicha picha tu pale kutoka kwa Stars.
Daah! Ila wacha tushiriki tu Mtani kushindana tuwaachie wengine.
Ooooh. Sawa Best.Ukiona sijatokea best ujuwe nimekamatika majukum
Mfano Jana jioni nimetoka very late
Kwakweli sina uzalendo kabisaa na hii Taifa staz ya makonda
ππHuu uloongea ndio ukweli wenyewe
Ooooh. Sawa Best.
Aaah! Wamalizie tu mechi zao wakagange mengine kwani pale bado tuna safari ndefu mpaka kufikia hatua ya sisi kuwa washindani.
Ukichunguza karibu wote wamepitia aidha sports academy au vilabu vya ufaransaKwan hao wachezaji wa Senegal wamekulia ufaransa?
Duh!! Ndiyo maanaUkichunguza karibu wote wamepitia aidha sports academy au vilabu vya ufaransa