Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Alizingua aisee kuruhusu sare ile...ila nadhani ndo timu ya Africa iliyoonyesha kiwango bomba..
Ufaransa inanyanyua makoloni yake kwa kila kitu kuanzia kiuchumi mpaka kimichezo.
Ndiyo maana Senegal haina vilabu vikubwa . kinda akionyesha talent kama huyu kelvin John anakimbizwa ufaransa kwenda kutengenezwa awe bora zaidi
 
Conlusion; Falsafa za Amunike ni pasua kichwa! Leo tumekwisha. Huyu Himid Mao ni mtu wa nguvu nyingi kuliko akili! Ukija kwa fei toto, siku zote hana uchangamfu akiwa uwanjani! Badala ya kumpanga Erasto Nyoni pale nyuma! Beki zote fupi! unamuacha Abdi Banda kwa sababu zisizoeleweka!

Kwa namna ninavyo mfahamu Kallidou Koulibaly kwenye mipira ya kona; tutegemee goli lake moja. Uganda kwa nini mlitulegezea kwenye ile mechi ya mwisho! Angalieni golikipa wetu anavyoteseka! Sisi na mpira wapi na wapi! Sisi huku tunaweza siasa za ccm na chadema tu.
tatizo ni ndugai siyo amunike
 
Ufaransa inanyanyua makoloni yake kwa kila kitu kuanzia kiuchumi mpaka kimichezo.
Ndiyo maana Senegal haina vilabu vikubwa . kinda akionyesha talent kama huyu kelvin John anakimbizwa ufaransa kwenda kutengenezwa awe bora zaidi
Kwan hao wachezaji wa Senegal wamekulia ufaransa?
 
Nilikuwa upande wa Senegal best
Tooba! Hujataka uzalendo best.

Maana nilikutafuta hukuonekana
Kuna sehemu nilikuquote baada ya kuona umenipotezea nikafuta na mawazo yakawa kwamba tumeongea lugha mbili tofauti. 😀😀😀

Kisa cha kupata pressure!!!!!!
Mi nililala baada ya first half tu best maana nilikuwa naona mapicha picha tu pale kutoka kwa Stars.
 
Tooba! Hujataka uzalendo best.

Kuna sehemu nilikuquote baada ya kuona umenipotezea nikafuta na mawazo yakawa kwamba tumeongea lugha mbili tofauti. 😀😀😀

Mi nililala baada ya first half tu best maana nilikuwa naona mapicha picha tu pale kutoka kwa Stars.

Ukiona sijatokea best ujuwe nimekamatika majukum

Mfano Jana jioni nimetoka very late

Kwakweli sina uzalendo kabisaa na hii Taifa staz ya makonda
 
Ukiona sijatokea best ujuwe nimekamatika majukum

Mfano Jana jioni nimetoka very late

Kwakweli sina uzalendo kabisaa na hii Taifa staz ya makonda
Ooooh. Sawa Best.

Aaah! Wamalizie tu mechi zao wakagange mengine kwani pale bado tuna safari ndefu mpaka kufikia hatua ya sisi kuwa washindani.
 
Ooooh. Sawa Best.

Aaah! Wamalizie tu mechi zao wakagange mengine kwani pale bado tuna safari ndefu mpaka kufikia hatua ya sisi kuwa washindani.

Wenzetu wanamaandalizi kabambe

Wanatimu nzuri sana u20 2018

Wanatimu nzuri sana u20 2019

Wanatimu nzuri sana ya akina wahusika

Wanatimu nzuri sana ya maveterani

Sisi tuna unsuccessful veterans wa Yanga na Simba ndio timu ya Taifa yetu....hatuwezi kutoka
 
Back
Top Bottom