Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

What a miss from niang
Feisal inabidi ajirekebishe aisee
 
Hah wamekoswa gori 2 mpaka ss.
Katikati bila mkude sijuiii, pembeni bila Ajibu sijuiiiiiii
 
Huyu Fei toto sijui anacheza nini... yaani sijui itakuwaje.. Huyu amonike ametuletea u mourinho wake wa kuwaacha ajibu na mkude.. ona sasa ameshakula na kadi
 
Back
Top Bottom