Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Si vibaya, mechi ijayo tutafanya vizuri, Leo tunajenga timu. Senegal timu bora ya kwanza Afrika, wanatuzidi viwango na uwekezaji, tujivunie chetu na kukiboresha. Tanzania kwanza
 
Wachezaji wakibongo wanajificha nyuma ya wapinzani wasipewe ili asilaumiwe
 
Yuko wapi huyo Amunike...
IMG_20190621_214758.jpg
 
Tusilaumu timu yetu bado inajijenga.Hatakama wakifungwa ila ndo wanazidi kukomaa.
 
Back
Top Bottom