Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

Duh haya wanayopigwa stars sio magoli ni mabao!

Hii ni hatari sana shehe!
 
Eti Fei Toto asimame kwenye kiungo na GANA anayesimama na kina Kante na Pogba akiwa Everton! [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unamlaumuje kocha kwa uchezaji mbovu wa namna hii. Uwezo wa wachezaji individually ni duni sana...
 
Naipongeza serikali ya ccm kwa kuisaidia timu ya Taifa kufungwa goli chache.

Awamu ya 5 juuuu juuu zaidi. 😀😎
 
*SENEGAL SQUAD*

*Goalkeepers:*

-Abdoulaye Diallo (Rennes, France)
-Alfred Gomis (Spal, Italy)
-Edouard Mendy (Reims, France)

*Defenders:*

-Kalidou Koulibaly (Napoli, Italy)
-Moussa Wague (FC Barcelona, Spain)
-Pape Abdou Cisse (Olympiacos, Greece)
-Salif Sane (Schalke,Germany)
-Youssouf Sabaly (Bordeaux,France)
-Lamine Gassama (Goztepe, Turkey)
-Saliou Ciss (Valenciennes, France)
-Cheikhou Kouyate (Crystal Palace, England)

*Midfielders:*

-Alfred Ndiaye (Malaga, Spain)
- Santy Ngom (Nancy, France)
- Idrissa Gana Gueye (Everton, England)
-Keprin Diatta (Club Brugge, Belgium)
-Pape Alioune Ndiaye (Galatasaray, Turkey)
-Sidy Sarr (Lorient, France)
-Henri Saivet (Bursaspor, Turkey)

*Forwards:*

-Ismaila Sarr (Rennes, France)
-Keita Balde (Inter Milan, Italy)
- Mbye Niang (Rennes, France)
-Moussa Konate (Amiens, France)
-Mbaye Diagne (Galatasaray, Turkey)
- Sada Thioub (Nimes, France)
-Sadio Mane (Liverpool, England
 
Taifa Stars wakijaribu kujitutumua
IMG-20190622-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom