kigogo warioba
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,048
- 9,398
mangapi huko yamefika?😴😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania kuna tatizo kubwa la uhaba wa wachezaji wazuri kama wa miaka ya 80 hawa tulionao uzalendo na kujituma uwanjani ni sifuri.
HapanaStartimes hawaonyeshi hii kweli...?
Umeisha mpira?Dah! Bora hata hizi goli 2 tulizofungwa. Mziki upo kwa Algeria! Sijui watatupiga ngapi! Majirani zetu wa Kenya huenda wakatuonea huruma na hivyo wakatupa tu hata sare! Kuondoka bila hata pointi moja, itakua ni muendelezo wa aibu kama ilivyokua kwa vijana wetu wa U17.
Pale katikati kwa kweli mmhHatimaye timu wazalendo tutalala na viatu! Haina shida ndio mpira huo ila hawa viungo wa Amunike ........
Dakika kadhaa zilizopitaUmeisha mpira?
CCM laana walipoingia wanasiasa wa ccm timu yetu imebeba hii laana na tutachapwa sana mpaka tutakapowafukuza huko Misri waje waendeleze madili yao ya kudanga na kuibia nchi. Maana ndiyo wanayoyaweza.Tangu walivyoanza kuingia wanasiasa tu mi nikajua ndio basi tena.
Kajituma sana[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24]
Asante Manula.