kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Eti kalipia uwanja mzima!Wakishinda sifa ziende kwa mama raisi kipenzi cha wa Tanzania .
Ni kutafuta namna ya kuwabubujisha machozi akina lukasi mwashambwaEti kalipia uwanja mzima!
Hakika kabisa kafikiwa na mama yake!Ni kutafuta namna ya kuwabubujisha machozi akina lukasi mwashambwa
Nyie CCM ndiyo mnasababisha stars inafungwa!!Mmejaa dhambi za watu na Mungu hasikikizi sala za mtu mwenye dhambi !Bora ungekaa kimya wakasema wengine.Hakika kabisa kafikiwa na mama yake!
Tutapata ushindi Ameen inshaAllah!Na ikawe hivyo japo kiukweli wachezaji wanahitaji kujitoa haswaa ili tupate hayo matokeo.
Toa boriti kwenye jicho lako kwanza .........mchawi mkubwa......!Nyie CCM ndiyo mnasababisha stars inafungwa!!Mmejaa dhambi za watu na Mungu hasikikizi sala za mtu mwenye dhambi !Bora ungekaa kimya wakasema wengine.
Taifa stars wakishinda, lucas atatoa machozi ya kujaza jaba.Ni kutafuta namna ya kuwabubujisha machozi akina lukasi mwashambwa
InshaAllah vijana watapambana ushindi unakuja mbili kwa moja!Tukishinda najua tunatakiwa kumshukuru Mama ikitokea tumefungwa je tumlaumu nani ?🐼
SamattaTukishinda najua tunatakiwa kumshukuru Mama ikitokea tumefungwa je tumlaumu nani ?🐼
InshaAllah kwa uwezo wake Allah jumlisha wachezaji na watanzania tunakwenda Afcon kwa ushindi wa 2-1!Afcon laZima ziende timu zenye hadhi kama Guinea yenye mastaa wengi na soccer wanalijua
Sio timu letu limejaa domo, unadiki na pongezi.
Guinea piga hao pongezi fc
SahauInshaAllah kwa uwezo wake Allah jumlisha wachezaji na watanzania tunakwenda Afcon kwa ushindi wa 2-1!
Mungu yupo pamoja na watanzania walio wengi!Sahau
Pongezi fc watapigwa kama mbwa mwizi
Hatuitaki!sare moya moya