Kila la kheri Stars inakwenda Afcon Morroco kwa ushindi wa 2-1 leo!

Kila la kheri Stars inakwenda Afcon Morroco kwa ushindi wa 2-1 leo!

Niliwacha kuishangilia stars tangu siku ya mechi ya stars dhidi ya bukina faso walipoitungua 2-1 nafikiri 2007 kama sikosei niliipuza baada ya kuingia siasa za maricio maximo na baadhi ya wachezaji nikawaacha na stars yao,
Lakini kwa kiwango chajuzi kipindi cha kwanza kama bacca,Samatta, kapombe na miroshi watajituma kama mechi ya wiki iliyopita basi tunakwenda Afcon bila kipangamizi,watanzania twendeni uwanjani tukashangalie ushindi wa stars leo!
Bahati mbaya nipo safarini ughaibuni lakini kiroho tutakuwa pamoja uwanja kuhanikiza ushindi wetu!
TAIFA STARS NI YA WATANZANIA SIO YA TFF!
Halafu wakishinda sifa ziende kwa mama au sio
 
Tukishinda leo basi kesho mama atangaze iwe public holiday watu tuenjoy kufuzu kwa kudinyana vilivyo maana kwa furah wake zetu watatususia mbususu
 
Tukishinda leo basi kesho mama atangaze iwe public holiday watu tuenjoy kufuzu kwa kudinyana vilivyo maana kwa furah wake zetu watatususia mbususu
Mmh wacha mjadala upelekwe bungeni!
 
Back
Top Bottom