Kila la kheri Stars inakwenda Afcon Morroco kwa ushindi wa 2-1 leo!

InshaAllah kwa uwezo wake Allah jumlisha wachezaji na watanzania tunakwenda Afcon kwa ushindi wa 2-1!
Hili ndio tatizo la wabongo. Mambo ya mungu na boli ulionaga wapi wewe?
Hao wadhungu hata siku moja usikii mambo ga tumuombe mungu lakini tukiingia uwanja i dhidi yao tunaambulia kipigo. Sasa tuacbe hizo story na tufanye copy and paste toka kwa wadhungu tutafanikiwa
 
Una hoja lakini hapa si mahala pake!
 
Amka kumekucha ustazi,
Uwezo wa kushinda hamna, Wanasiasa wanakwenda kuumbuka leo
Nadhani watajazana na tishet zao zenye picha ya kizimkazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…