Kila la kheri Wekundu wa Msimbazi katika mechi yenu ya leo,Kama mnauwezo Fanyeni kama sisi Jana!!

Magema Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
1,299
Reaction score
1,197
Ukiangalia ubora na hali ya timu kati ya mbeya city na mwadui fc , nikama wote wanahali mbaya!

Kuelekea mechi ya leo kati ya mbeya city vs Mikia fc,naona kabsa mikia wanaenda kujipigia tu (kama watajipanga vema)!

Ndugu Zangu watani zangu, mikia fc, bakuli fc, m300 fc, Muhamed fc, naombeni mkajitume ili kurejesha imani kwa mashabiki zenu ambao wana hali mbaya kutokana na chama kubwa young african tanzania kujipigia kila timu inatokatiza mbele yake!!
Nafaham kabisa mnajua bingwa ameshapatikana (Yanga) lakini katika kukamilisha ratba ni vema mkapata ushindii wa matumaini.

NB: Mbeya city sio wakitoto aiseeπŸ€”πŸ€”, mkianzisha kina kahata wenu lazima mvua iwanyeee!!,. Pia kama huyo konde wenu hamjamuonya juu ya tabia yake ya kupoteza mda kujipiga chenga,na kukenua kenua hovyo, ni dhahiri kipigo is upon you mikia!!

Game id :56777
Venue:
Time :10;00

FT: Mbeya city 2 vs Mikia 2

#jr
 
Maiti inamng'ang'ania mtu leo
 
Sioni namna ambavyo Mwamedi fc ataepuka kipigo leo
 
Mwadui nikibonde wa VPL,,,pia simba kushida,goal nying sio big deal ni utamadum wasimba kushinda goal 5,7,8
 
Mwadui nikibonde wa VPL,,,pia simba kushida,goal nying sio big deal ni utamadum wasimba kushinda goal 5,7,8
daah yani mikia kwa kutamba tu mko vizuri

Hivi jkt ruvu alikula ngapi vileπŸ€”πŸ€”
 
Mbona ile Mbona ile 4G tulikupiga umesahau mapema hvyo.mnyama kupiga mtu 7,6,5,4 siyo jambo la kujadili ni kawaida sana.na wala hatuna kelele.
 
daah yani mikia kwa kutamba tu mko vizuri

Hivi jkt ruvu alikula ngapi vileπŸ€”πŸ€”
Kipind kile kuna watu walikua wanafanya hujuma dhidi ya mnyama,,,, so nambie Baada ya watu kutiwa selo ,,,,na wengine kuhojiwa ushashuhudia au hata kusikia kua simba imefungwa au kupata hata sare tu
 
Ajabu leo utopolo wameanzisha uzi mapema wanasahau sisi tulimpiga coastal bao 7 wakati wao walishinda 3 leo kufunga vibonde goli 5 kwao imekuwa miujiza mikubwa
mikia hamna point zaidi ya kulialia tu hapa 😁😁, vipi ile m300 mmeshalipa?? Hali ya bakuli ipoje ukoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona ile
Mbona ile 4G tulikupiga umesahau mapema hvyo.mnyama kupiga mtu 7,6,5,4 siyo jambo la kujadili ni kawaida sana.na wala hatuna kelele.
Unataka nimuite masau bwire hapa??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kipind kile kuna watu walikua wanafanya hujuma dhidi ya mnyama,,,, so nambie Baada ya watu kutiwa selo ,,,,na wengine kuhojiwa ushashuhudia au hata kusikia kua simba imefungwa au kupata hata sare tu
juzi na polis tz,mngetokea wapi nyie mikia?? Yani simba ili ishinde lazima mlambe miguu ya ccc!!!
 
kweli masikini akipata matako hulia mbwata..
simba kushinda goli nyingi ni desturi yake ila kwa uto imekuwa ni big deal sana..

hongereni watani kwa ushindi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…