koboG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 2,763
- 5,167
Haya ni mawazo ya uto kutokea utopolon inabidi tuyaheshim hata uto nao ni watuSimba wachezaji wengi wamechoka ki mwili ni swala la muda tu Hali itakua mbaya zaidi. Wachezaji walio sajiliwa kuongeza nguvu wengi hawapati nafasi waliopo miili inaelekea kugoma umebaki uwezo wa baadhi ya wachezaji Ila timu Kama timu imechoka. Mambo ya kusajili kwaajili ya ku mkomoa yanga yanakwenda kuibomoa Simba.