rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Usipoteze muda kubishana na utopolo, kama kocha wao aliwaita uneducated manyani majibwa sisi ni nani hadi tupinge.Simba ana magoli 10 said ya yanga. Unasemaje boya ww
Leo zilikuwa zinatajwa rekodi za Simba
Ni timu pekee Tanzania kufika hatua ya nusu fainali kwenye michuano ya mabingwa afrika
Nintimu pekee Tanzania kufika fainali ya michuano ya Afrika
Waambie utopolo waweke rekodi zao mojawapo ni timu pekee Tanzania ambao viongozi wake walifungiwa kwa kutoa rushwa kwa marefa michuano ya Afrika