Kila la kheri Wekundu wa Msimbazi katika mechi yenu ya leo,Kama mnauwezo Fanyeni kama sisi Jana!!

Masau bwire kitu gani? Simba kupiga 5 au 4 ni kitu cha ajabu? Unaongea San coz yanga kushinda goli 2 ni km muujiza kwenu,hamna utamaduni huo.ndio maana mapovu mengi humu.
sasa tufanye hivi,kila mtu ashinde game zake (yanga na mikia )then mwisho wa siku tutaona nani winner!!
 
Ukiangalia ubora na hali ya timu kati ya mbeya city na mwadui fc , nikama wote wanahali mbaya!!
Kuelekea mechi ya leo kati ya mbeya city vs Mikia fc,naona kabsa mikia wanaenda kujipigia tu (kama watajipanga vema)!
Ndugu Zang watani zangu,mikia fc,bakuli fc,m300 fc,Muhamed fc,naombeni mkajitume ili kurejesha imani kwa mashabiki zenu ambao wana hali mbaya kutokana na chama kubwa young african tanzania kujipigia kila timu inatokatiza mbele yake!!
Nafaham kabsa mnajua bingwa ameshapatikana (Yanga) lakini katika kukamilisha ratba ni vema mkapata ushindii wa matumaini.
NB:mbeya city sio wakitoto aisee[emoji848][emoji848],mkianzisha kina kahata wenu lazima mvua iwanyeee!!,. Pia kama huyo konde wenu hamjamuonya juu ya tabia yake ya kupoteza mda kujipiga chenga,na kukenua kenua hovyo, ni dhahiri kipigo is upon you mikia!!

Game id :56777
Venue:
Time :10;00

FT:mbeya city 2 vs Mikia 2

#jr
.
IMG-20201213-WA0000.jpg
 
Ila misha bana haya,we acha tu...yaani wakati watu wanfikiria habari za makundi Club bingwa Africa...kuna utopolo unaongea habari za Mbeya City...

Huku in kukoseana adabu...tumieni muda huu ku promote biashara yenu ya Madera.
 
Simba itafanya hawa Utopolo warun Mental Disoder maaana wanaumiaaaaaaaaaaa mpaka huruma.
 
Ukiangalia ubora na hali ya timu kati ya mbeya city na mwadui fc , nikama wote wanahali mbaya!!
Kuelekea mechi ya leo kati ya mbeya city vs Mikia fc,naona kabsa mikia wanaenda kujipigia tu (kama watajipanga vema)!
Ndugu Zang watani zangu,mikia fc,bakuli fc,m300 fc,Muhamed fc,naombeni mkajitume ili kurejesha imani kwa mashabiki zenu ambao wana hali mbaya kutokana na chama kubwa young african tanzania kujipigia kila timu inatokatiza mbele yake!!
Nafaham kabsa mnajua bingwa ameshapatikana (Yanga) lakini katika kukamilisha ratba ni vema mkapata ushindii wa matumaini.
NB:mbeya city sio wakitoto aisee[emoji848][emoji848],mkianzisha kina kahata wenu lazima mvua iwanyeee!!,. Pia kama huyo konde wenu hamjamuonya juu ya tabia yake ya kupoteza mda kujipiga chenga,na kukenua kenua hovyo, ni dhahiri kipigo is upon you mikia!!

Game id :56777
Venue:
Time :10;00

FT:mbeya city 2 vs Mikia 2

#jr
Yule kocha wenu alimaliza kila kitu.....mashabiki wa yanga ni uneducated people. Akaenda mbali kdgo kwa kuwaita manyani na ma mbwa wa kubwekabweka. Na kwa hiki ulichoandika Unathibitisha ukwel huo. POLE. Mvaa Madela. Vjola fc
 
Simba wachezaji wengi wamechoka ki mwili ni swala la muda tu Hali itakua mbaya zaidi. Wachezaji walio sajiliwa kuongeza nguvu wengi hawapati nafasi waliopo miili inaelekea kugoma umebaki uwezo wa baadhi ya wachezaji Ila timu Kama timu imechoka. Mambo ya kusajili kwaajili ya ku mkomoa yanga yanakwenda kuibomoa Simba.
 
Back
Top Bottom