Kila la kheri Wekundu wa Msimbazi katika mechi yenu ya leo,Kama mnauwezo Fanyeni kama sisi Jana!!

Masau bwire kitu gani? Simba kupiga 5 au 4 ni kitu cha ajabu? Unaongea San coz yanga kushinda goli 2 ni km muujiza kwenu,hamna utamaduni huo.ndio maana mapovu mengi humu.
sasa tufanye hivi,kila mtu ashinde game zake (yanga na mikia )then mwisho wa siku tutaona nani winner!!
 
.
 
Ila misha bana haya,we acha tu...yaani wakati watu wanfikiria habari za makundi Club bingwa Africa...kuna utopolo unaongea habari za Mbeya City...

Huku in kukoseana adabu...tumieni muda huu ku promote biashara yenu ya Madera.
 
Ila misha bana haya,we acha tu...yaani wakati watu wanfikiria habari za makundi Club bingwa Africa...kuna utopolo unaongea habari za Mbeya City...

Huku in kukoseana adabu...tumieni muda huu ku promote biashara yenu ya Madera.
Simba itafanya hawa Utopolo warun Mental Disoder maaana wanaumiaaaaaaaaaaa mpaka huruma.
 
Yule kocha wenu alimaliza kila kitu.....mashabiki wa yanga ni uneducated people. Akaenda mbali kdgo kwa kuwaita manyani na ma mbwa wa kubwekabweka. Na kwa hiki ulichoandika Unathibitisha ukwel huo. POLE. Mvaa Madela. Vjola fc
 
Simba wachezaji wengi wamechoka ki mwili ni swala la muda tu Hali itakua mbaya zaidi. Wachezaji walio sajiliwa kuongeza nguvu wengi hawapati nafasi waliopo miili inaelekea kugoma umebaki uwezo wa baadhi ya wachezaji Ila timu Kama timu imechoka. Mambo ya kusajili kwaajili ya ku mkomoa yanga yanakwenda kuibomoa Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…