Haya ni mawazo ya uto kutokea utopolon inabidi tuyaheshim hata uto nao ni watuSimba wachezaji wengi wamechoka ki mwili ni swala la muda tu Hali itakua mbaya zaidi. Wachezaji walio sajiliwa kuongeza nguvu wengi hawapati nafasi waliopo miili inaelekea kugoma umebaki uwezo wa baadhi ya wachezaji Ila timu Kama timu imechoka. Mambo ya kusajili kwaajili ya ku mkomoa yanga yanakwenda kuibomoa Simba.
kacheze kuch kuch huko,huna lolote by the way.. .. yani wew ndo umeelimika?? Kama wewe ndo umeelimika basi kuna kila sababu ya kukaa chini kama taifa na kujadili mstakabali wa elim π€Yule kocha wenu alimaliza kila kitu.....mashabiki wa yanga ni uneducated people. Akaenda mbali kdgo kwa kuwaita manyani na ma mbwa wa kubwekabweka. Na kwa hiki ulichoandika Unathibitisha ukwel huo. POLE. Mvaa Madela. Vjola fc
matokeo vipi huko jamani ??maneno yoooote,ka goli kamoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alafu mbeya wamechomoa sema mmebebwa na usimba na uyanga[emoji23][emoji23]
wamejitahidi kwelikwelift:mikia 1 mbeya city 0
Utopolo leta hilo goli wananzengo walionemkuu wamemdhulum mbeya goli lake halali kabsa π€π€ yani ule u "simba" ndo umewabeba
Yule kocha wenu alimaliza kila kitu.....mashabiki wa yanga ni uneducated people. Akaenda mbali kdgo kwa kuwaita manyani na ma mbwa wa kubwekabweka. Na kwa hiki ulichoandika Unathibitisha ukwel huo. POLE. Mvaa Madela. Vjola fc
Unabwabwaja bila ushahidi. Leta huo ushahidi kwamba kuna goli halali limekataliwa.kwani uongo?? Kibu hajafunga goli halali??
hahahah eti makundiπππ yani mikia bana!! Huko caf mnaenda kufanya nini zaidi ya kutoa mdinyo??ππIla misha bana haya,we acha tu...yaani wakati watu wanfikiria habari za makundi Club bingwa Africa...kuna utopolo unaongea habari za Mbeya City...
Huku in kukoseana adabu...tumieni muda huu ku promote biashara yenu ya Madera.
Wa kuwakilisha nchi anawakilisha nchi. Wale wa mechi kubwa za morogoro na mwanza nao tunawaona. Hii ndio maana halisi ya timu borahahahah eti makundi[emoji23][emoji23][emoji23] yani mikia bana!! Huko caf mnaenda kufanya nini zaidi ya kutoa mdinyo??[emoji23][emoji23]
Mods wangeweka utaratibu wa kupima watu akili hasa mashabiki wa mikiamikia kichwani ni weupe sana
Kwan mwenye tabia na desturi ya ushindi wa goli moja moja si yanga. Yaan Yale ma5 yamegeuka fimbo. Acha upopoma huo. Simba imeshinda had goli 7 na manne, matatu Mara nying tu. Knuth bitisha hilo taja idadi ya magoli ya kufunga ya timu zote kisha angalia simba aliyonayo. MAGOLI 10 Zaidi kwa yangawamejitahidi kwelikweli
Simba ana magoli 10 said ya yanga. Unasemaje boya wwmaneno yoooote,ka goli kamoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alafu mbeya wamechomoa sema mmebebwa na usimba na uyanga[emoji23][emoji23]