rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Usipoteze muda kubishana na utopolo, kama kocha wao aliwaita uneducated manyani majibwa sisi ni nani hadi tupinge.Simba ana magoli 10 said ya yanga. Unasemaje boya ww
Magauni FC, Madela DC.Mods wangeweka utaratibu wa kupima watu akili hasa mashabiki wa mikia
mikia kichwani ni weupe sana aiseeUsipoteze muda kubishana na utopolo, kama kocha wao aliwaita uneducated manyani majibwa sisi ni nani hadi tupinge.
Leo zilikuwa zinatajwa rekodi za Simba
Ni timu pekee Tanzania kufika hatua ya nusu fainali kwenye michuano ya mabingwa afrika
Nintimu pekee Tanzania kufika fainali ya michuano ya Afrika
Waambie utopolo waweke rekodi zao mojawapo ni timu pekee Tanzania ambao viongozi wake walifungiwa kwa kutoa rushwa kwa marefa michuano ya Afrika
Kama linauma chomoa ,,kuhusu goal nying hizo zinakusubri wewe maana unauzoefu wavipigi heavy kutoka kwa mnyama ,,,,so kafungwa mbeya city unaumia wewemaneno yoooote,ka goli kamoja😂😂😂😂 alafu mbeya wamechomoa sema mmebebwa na usimba na uyanga😂😂
Unajisahaulisha makusudi zile 4 - 1Mechi ya Sokoine bahati nzuri nilikuwepo kiwanjani,Mikia mmeshinda kwa uzoefu tu,ila kiwango kibovu sana
Tena walienda kuhonga marefa kwenye mechi dhidi ya Gor mahia....ni wakuwapuuza hawa wavaa madela wana mambo ya ajabu sana.Usipoteze muda kubishana na utopolo, kama kocha wao aliwaita uneducated manyani majibwa sisi ni nani hadi tupinge.
Leo zilikuwa zinatajwa rekodi za Simba
Ni timu pekee Tanzania kufika hatua ya nusu fainali kwenye michuano ya mabingwa afrika
Nintimu pekee Tanzania kufika fainali ya michuano ya Afrika
Waambie utopolo waweke rekodi zao mojawapo ni timu pekee Tanzania ambao viongozi wake walifungiwa kwa kutoa rushwa kwa marefa michuano ya Afrika
Wewe ndiyo walewale aliowasema Eymael, si ajabu umeanza kushabikia mpira ukubwani.Nikikuambia utoe ushahidi juu ya hiki unachosema utanipatia??
Game 4 zijazo za Mikia FC
Mbeya City
KMC
Namungo
Azam
All the best watani
Kwa mchezo aliyonyesha Jana dhidi ya mbeya city, lazima apoteze mechi kwenye list hiyo. Jana refa kawaokoa wangedondosha point, nafikiri site tumeona mzee nzima alivyobebwa mabegani mwa marefa. Tutaelewana tuWamatopeni hapa lazima afe mechi si chini ya mechi 2.

Hivi utopolo imeokolewa mechi ngapi na marefa msimu huu? Mechi dhidi ya gwambina refa alikataa goli halali la gwambina. Mnabwabwaja na kubweka kama minyani na mimbwa kama kocha wenu alivyosema.Kwa mchezo aliyonyesha Jana dhidi ya mbeya city, lazima apoteze mechi kwenye list hiyo. Jana refa kawaokoa wangedondosha point, nafikiri site tumeona mzee nzima alivyobebwa mabegani mwa marefa. Tutaelewana tu
Kila mda na mtawala wake. Huu ni muda wa simba km ww si simba utateseka mno. Rais simba, wazir Mkuu simbaKwa mchezo aliyonyesha Jana dhidi ya mbeya city, lazima apoteze mechi kwenye list hiyo. Jana refa kawaokoa wangedondosha point, nafikiri site tumeona mzee nzima alivyobebwa mabegani mwa marefa. Tutaelewana tu
Kwan nyie c mlimtegemea kikwete. Unasahau.Na Malinz alvyowabeba. Kaz mnayo vjola tc. Wa mama wa MadelaYani mikia bana,kwahiyo Rais kuwa simba ndo mafanikio au??
Sio majungu. Malinzi alitamka waziwaz simba haiwez kuwa bingwa wa Tz ktk kpndi chakehahahhah mkuu unamajungu sio poah