Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
We ni mtu mzima, huu ujinga wa kudandiadandia mambo unatoa wapi? Kila msemo unauvalia njuga. Kipindi wanasema wahenga ulikomaa kishenzi na huo msemo. Nakumbuka ukaja kukomaa na "Injinia soma hiyooooo" hadi ukawa kero kuu. Mara ukaja na Chap kwa haraka, ukaenda na mzee baba. Kuna mingine umepita nayo hapa kati. Siku hizi umekuja na Maokoto. Halipiti saa hujasema Maokoto. Punguza huu ujinga na anza kujiheshimu.