ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mfumoooooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha taarabu, fanya hiphop, MTAJEWe ni mtu mzima, huu ujinga wa kudandiadandia mambo unatoa wapi? Kila msemo unauvalia njuga. Kipindi wanasema wahenga ulikomaa kishenzi na huo msemo. Nakumbuka ukaja kukomaa na "Injinia soma hiyooooo" hadi ukawa kero kuu. Mara ukaja na Chap kwa haraka, ukaenda na mzee baba. Kuna mingine umepita nayo hapa kati. Siku hizi umekuja na Maokoto. Halipiti saa hujasema Maokoto. Punguza huu ujinga na anza kujiheshimu.
Nao ni msemo mpya!!?watasema badohawajasema
sijuiNao ni msemo mpya!!?