Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Umekunywa chai Kamanda?We ni mtu mzima, huu ujinga wa kudandiadandia mambo unatoa wapi? Kila msemo unauvalia njuga. Kipindi wanasema wahenga ulikomaa kishenzi na huo msemo. Nakumbuka ukaja kukomaa na "Injinia soma hiyooooo" hadi ukawa kero kuu. Mara ukaja na Chap kwa haraka, ukaenda na mzee baba. Kuna mingine umepita nayo hapa kati. Siku hizi umekuja na Maokoto. Halipiti saa hujasema Maokoto. Punguza huu ujinga na anza kujiheshimu, kima wewe.
Bado watu mnakunywa chai asubuhi? Mimepiga zangu ugali na mchicha hapa safi kabisa.Umekunywa chai Kamanda?
Wakili hachagui mteja.Umechagua ID/Jina Baya.
Atakuwa mpishi wa makamanda huyo.Kamanda hanuni kwa maneno yanayoibuka kila msimu.Umekunywa chai Kamanda?
Utajisikiaje upo na mtu ambaye haipiti nusu saa bila kusema, "Injinia soma hiyoooooo!!?" Ua nawe ndiyo wa dizaini hiyo?Duuh! Misemo ya kupita pia inakuwazisha Mkuu.
Ni kuwa na kiasi tu tu MZEE BABAToa solution
Ni kero kubwa sana. Tatizo ni kutokuwa na chochote cha maana kichwani. Likitokea limsemo linajaza kichwa kizima. Mtu akilala akiamka anakuwa anasikia limsemo "Injinia soma hiyooooo" au "Nawaona nawaona" likipiga kichwani.Uwa wananikera sana ndiyo ukae na tuvijana ambao hawana hata kumi mfukoni basi kusema maneno hayo kwao ni kama fahari mara maokoto , mara nini ushamba mwingi tu.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hii imeendaDuuh! Misemo ya kupita pia inakuwazisha Mkuu.
Ukweli mtupu, Wanakera Wapumvavu hawa na Misemo ya Kichoko.We ni mtu mzima, huu ujinga wa kudandiadandia mambo unatoa wapi? Kila msemo unauvalia njuga. Kipindi wanasema wahenga ulikomaa kishenzi na huo msemo. Nakumbuka ukaja kukomaa na "Injinia soma hiyooooo" hadi ukawa kero kuu. Mara ukaja na Chap kwa haraka, ukaenda na mzee baba. Kuna mingine umepita nayo hapa kati. Siku hizi umekuja na Maokoto. Halipiti saa hujasema Maokoto. Punguza huu ujinga na anza kujiheshimu.