Kila Machi 17 kwanini isiwe Magufuli Day?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Nikiwa mdau wa watu wenye uthubutu na maamuzi magumu juu ya taifa lake.

Your browser is not able to display this video.


Kwa hapa nchini tarehe 17th.03.2022 inakuwa zimetimia siku 365 za mwaka toka alipofariki aliyekuwa Rais wa JMT JPM.

Jana na leo napita mitandaoni na kujifunza kitu ambacho ukiwa hapa jf unaweza kudhani kweli camarader legend John anachukiwa kwelikweli ila siyo kweli.

Naona hii siku March 17th iwe Magufuli Day kama itapendeza nimeandika tu!, tukumbuke si kwa kipindi kifupi anatokea mtu mwenye haiba ya namna hii huwa ni kipindi kirefu sana na huenda akawepo ila hawezi kutambulika.


👆🏾 Picha haina uhusiano na bandiko ila ukipenda kuishabihisha unaruhusiwa.
 
Kwa wale ambao tuliumizwa na jiwe moja kwa moja au vinginevyo tunasikitika sana kuona kuna watu bado wanamshabikia.
 
Nyerere day inatosha kbs!!
 
unaruhusiwa.
 
 
Dkt John Pombe Joseph Magufuli
Mzilankende Mnyago, Chuma, Jiwe
Baba Jesca!!

Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…