Sun Zu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2022
- 636
- 1,819
Hapana kwa kweli, huyo mtu hastahili kuwekewa siku yake ya kukumbukwa, wacha akumbukwe tu na Jesca, kama taifa tuna mengi ya kukumbuka, ubakaji wa demokrasia, mauaji ya watu, utekaji nyara, mashambulizi kwa wapinzani, wizi wa fedha za umma uliotukuka mf Tr 1.5, ukabila, nk