Kila Machi 17 kwanini isiwe Magufuli Day?

Tuanze kwanza na mkapa day kama tunataka kuweka magufuli day

Mkapa alifia madarakani ? 😿😿 Chuma Ni Raisi wa kwanza Tanzania kufia madarakani ukiacha uchapakazi wake ameacha alama hiyo ya kukumbukwa
 
Nikiwa mdau wa watu wenye uthubutu na maamuzi magumu juu ya taifa lake.

View attachment 2152994

Kwa hapa nchini tarehe 17th.03.2022 inakuwa zimetimia siku 365 za mwaka toka alipofariki aliyekuwa Rais wa JMT JPM.

Jana na leo napita mitandaoni na kujifunza kitu ambacho ukiwa hapa jf unaweza kudhani kweli camarader legend John anachukiwa kwelikweli ila siyo kweli.

Naona hii siku March 17th iwe Magufuli day kama itapendeza nimeandika tu!, tukumbuke si kwa kipindi kifupi anatokea mtu mwenye haiba ya namna hii huwa ni kipindi kirefu sana na huenda akawepo ila hawezi kutambulika.

View attachment 2152987

👆🏾 Picha haina uhusiano na bandiko ila ukipenda kuishabihisha unaruhusiwa.
Halafu kuna kitu sikielewe hivi Magufuri alikufa tareh 17 na Tundu lisu tare 17 alipigwa lisasi ni kitendawili.
 
Nikiwa mdau wa watu wenye uthubutu na maamuzi magumu juu ya taifa lake.

View attachment 2152994

Kwa hapa nchini tarehe 17th.03.2022 inakuwa zimetimia siku 365 za mwaka toka alipofariki aliyekuwa Rais wa JMT JPM.

Jana na leo napita mitandaoni na kujifunza kitu ambacho ukiwa hapa jf unaweza kudhani kweli camarader legend John anachukiwa kwelikweli ila siyo kweli.

Naona hii siku March 17th iwe Magufuli day kama itapendeza nimeandika tu!, tukumbuke si kwa kipindi kifupi anatokea mtu mwenye haiba ya namna hii huwa ni kipindi kirefu sana na huenda akawepo ila hawezi kutambulika.

View attachment 2152987

[emoji1483] Picha haina uhusiano na bandiko ila ukipenda kuishabihisha unaruhusiwa.
Unatafuta laana?
 
Mkapa alifia madarakani ? 😿😿 Chuma Ni Raisi wa kwanza Tanzania kufia madarakani ukiacha uchapakazi wake ameacha alama hiyo ya kukumbukwa
Kwahiyo lini umekufa ni achievement?! Jiulize kwanini Nyerere ndio anakumbukwa?!
Acheni kulazimisha mambo. Apumzike tu kwa Amani inatosha.
 
Hiyo siku ukipanga we na familia yako mkawa mnafanya kumbukizi inatosha.

Siwezi kukumbuka udikteta.
 
Kwa wale ambao tuliumizwa na jiwe moja kwa moja au vinginevyo tunasikitika sana kuona kuna watu bado wanamshabikia.
Utaumia sana kwa kweli
Maeneo mengi hasa vijijini wanamuenzi na kumthamini sana.
JPM aliumiza wengi miongoni mwa makundi ya wanasiasa ccm na upinzani. Wateule na watumishi wa umma wafanyabiashara wapiga deal...
Lakini hakuumiza raia wa kawaida walalahoi na wanyonge
Hao ni wengi kuliko jumla ya matabaka tajwa... Ndio sababu wanaomlilia ni wengi.
Binafsi shughuli zangu zinanipitisha vijijini yaani ukiona watu wanavomuenzi huko huwezi kuamini
 
Nikiwa mdau wa watu wenye uthubutu na maamuzi magumu juu ya taifa lake.

View attachment 2152994

Kwa hapa nchini tarehe 17th.03.2022 inakuwa zimetimia siku 365 za mwaka toka alipofariki aliyekuwa Rais wa JMT JPM.

Jana na leo napita mitandaoni na kujifunza kitu ambacho ukiwa hapa jf unaweza kudhani kweli camarader legend John anachukiwa kwelikweli ila siyo kweli.

Naona hii siku March 17th iwe Magufuli day kama itapendeza nimeandika tu!, tukumbuke si kwa kipindi kifupi anatokea mtu mwenye haiba ya namna hii huwa ni kipindi kirefu sana na huenda akawepo ila hawezi kutambulika.

View attachment 2152987

[emoji1483] Picha haina uhusiano na bandiko ila ukipenda kuishabihisha unaruhusiwa.
Je wewe una ndugu waliotangulia kuacha dunia na umewatengea siku zao Maalum?

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Mambo aliyofanya Mkapa ni mengi mno Kwanini hasianze huyu ndo afuate Magufuli
 
Kwahiyo lini umekufa ni achievement?! Jiulize kwanini Nyerere ndio anakumbukwa?!
Acheni kulazimisha mambo. Apumzike tu kwa Amani inatosha.

Hacha wivu wa kichawi . Nenda usome some upate angalau degree moja ugombee Uraisi ufie madarakani tukukumbuke kila mwaka
 
Dikteta awekewe siku maalum ya kukumbuka aliowaua au?
Ni maumivu sana, kukumbuka muuaji.

Fikiria familia za akina Azory, Ben Saanane watoto wao wamebaki wakiwa sababu ya huyo.

Mungu yupo anajua namna ya kuwaokoa waja wake
 
Iddi Amin akifa
mm siwezi kuli
Nitamtupa Kagera
Awe chakula Cha mamba

Mungu mwema
1647437506375.jpg
1647435763340.jpg
 
NSSF fao la Kujitoa ..watu wana roho za shetani....
Kamwe hatuwezi kukubali kutenga siku ya kumkumbika fashisti. Mkamdamizaji wa haki za binadamu. Anaamuru mtu apigwe risasi kwa kuwa tu anatofautiana naye kimtazamo. Anaamuru wakurugenzi wa halmashauri wasitangazw wapinzani kuwa wameshinda uchaguzi. Aliyekataa waziwazi kupeleka maendeleo kwa sehemu zilizochagua wapinzani. Tanzania haijawahi kuwa na rais wa ovyo kama huyu. Sasa kwa nini tutengenge siku ya kumkumbuka?
 
Back
Top Bottom