Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Magufuli alikuwa ndio comedian of this century, kauli zake nyingi ni tata na vichekesho vitupu.Ukitaka kujifunza usisome kitabu kimoja, vilevile ukitaka kujua jambo usisome gazeti moja.
Wewe unaposoma hizi one man in two or three id ndizo zinakuchanganya, toka jf nenda other forum ujue tabia za watu.
Wengine hatupati kimuemue kwa hawa chawa wanaoAct positive thinker.
Utamsikia maendeleo hayana vyama.
Mara utamsikia wapinzani waliruchelewesha.
Mara uatamsikia haiwezekani mkurugenzi nikulipe mshahara nikupe na gari halafu utangaze mpinzani ameshinda.
For my opinion huyu mtu alikuwa ni mtu wa hovyo kabisa, katili na hakujari utu wa watu.
Tunamshukuru Mungu kwa kuingilia kati na kumtwaa nduli huyu ili wana wa nchi waweze kuishi kama binadamu.