Kila Machi 17 kwanini isiwe Magufuli Day?

Kila Machi 17 kwanini isiwe Magufuli Day?

Ili iweje maafrika ni mavivu sana , tunapenda kulala mno, watu walioendelea hawana muda wa kupumzika ndio maana wana maendeleo
 
Nikiwa mdau wa watu wenye uthubutu na maamuzi magumu juu ya taifa lake.

View attachment 2152994

Kwa hapa nchini tarehe 17th.03.2022 inakuwa zimetimia siku 365 za mwaka toka alipofariki aliyekuwa Rais wa JMT JPM.

Jana na leo napita mitandaoni na kujifunza kitu ambacho ukiwa hapa jf unaweza kudhani kweli camarader legend John anachukiwa kwelikweli ila siyo kweli.

Naona hii siku March 17th iwe Magufuli Day kama itapendeza nimeandika tu!, tukumbuke si kwa kipindi kifupi anatokea mtu mwenye haiba ya namna hii huwa ni kipindi kirefu sana na huenda akawepo ila hawezi kutambulika.

View attachment 2152987

[emoji1483] Picha haina uhusiano na bandiko ila ukipenda kuishabihisha unaruhusiwa.
Siungi mkono. Unaliona hilo rahisi lakini vizazi vijavyo vitashindwa kufanya kazi kwa wingi wa sikukuu. Miaka 200 ijayo mimi nawe hatutakuwepo. Marais zaidi ya 20 watakuwa wametawala na kufa. Kila mmoja akitengewa siku yake itakuwa ni shida. Hata jana lilitakiwa liwe ni tukio la kifamilia, na dini yao. Kitaifa itengwe siku moja ya kukumbuka wote, japo siku ya mashujaa inatosha.
 
Unataka siku za mapumziko
Ili iweje maafrika ni mavivu sana , tunapenda kulala mno, watu walioendelea hawana muda wa kupumzika ndio maana wana maendeleo
Kwani jana ilikuwa mapumziko au kuna sehemu nimeandika kumbukumbu yake iwe mapumziko?.
 
tarehe 17th.03.2022 inakuwa zimetimia siku 365 za mwaka toka alipofariki aliyekuwa Rais wa JMT JPM.

Naona hii siku March 17th iwe Magufuli Day kama itapendeza
Kwanza naunga mkono hoja, Ila hiyo tarehe 17, March 2021 ni siku alipotangazwa kuwa he died and not necessarily is the day.
P
 
Utaumia sana kwa kweli
Maeneo mengi hasa vijijini wanamuenzi na kumthamini sana.
JPM aliumiza wengi miongoni mwa makundi ya wanasiasa ccm na upinzani. Wateule na watumishi wa umma wafanyabiashara wapiga deal...
Lakini hakuumiza raia wa kawaida walalahoi na wanyonge
Hao ni wengi kuliko jumla ya matabaka tajwa... Ndio sababu wanaomlilia ni wengi.
Binafsi shughuli zangu zinanipitisha vijijini yaani ukiona watu wanavomuenzi huko huwezi kuamini
Hao ni waangalia TBC. Ule uongo wa "tunatekeleza kwa kishindo"
 
Magufuli alikuwa ndio comedian of this century, kauli zake nyingi ni tata na vichekesho vitupu.

Utamsikia maendeleo hayana vyama.

Mara utamsikia wapinzani waliruchelewesha.

Mara uatamsikia haiwezekani mkurugenzi nikulipe mshahara nikupe na gari halafu utangaze mpinzani ameshinda.

For my opinion huyu mtu alikuwa ni mtu wa hovyo kabisa, katili na hakujari utu wa watu.

Tunamshukuru Mungu kwa kuingilia kati na kumtwaa nduli huyu ili wana wa nchi waweze kuishi kama binadamu.
Aisee usimseme sana asije akaamka tukaanza kuisoma namba upya.
 
Back
Top Bottom