Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja kwa mapana.Nikiwa mdau wa watu wenye uthubutu na maamuzi magumu juu ya taifa lake.
View attachment 2152994
Kwa hapa nchini tarehe 17th.03.2022 inakuwa zimetimia siku 365 za mwaka toka alipofariki aliyekuwa Rais wa JMT JPM.
Jana na leo napita mitandaoni na kujifunza kitu ambacho ukiwa hapa jf unaweza kudhani kweli camarader legend John anachukiwa kwelikweli ila siyo kweli.
Naona hii siku March 17th iwe Magufuli day kama itapendeza nimeandika tu!, tukumbuke si kwa kipindi kifupi anatokea mtu mwenye haiba ya namna hii huwa ni kipindi kirefu sana na huenda akawepo ila hawezi kutambulika.
View attachment 2152987
👆🏾 Picha haina uhusiano na bandiko ila ukipenda kuishabihisha unaruhusiwa.
Jamani!Hiyo siku tuwe tunafanya maombi mwendazake awe anatandikwa bakora 1000 huko kuzimu.
Then siku zijazo iongezwe Mwinyi Day, Kikwete Day, Samia Day...Tuanze kwanza na mkapa day kama tunataka kuweka magufuli day
Kabla ya Mkapa Day?Hakika, ni suala la muda tu mkuu. Magufuli Day itakuja.
Sijui, ila tutakuwa na Magufuli Day... Just a matter of time.Kabla ya Mkapa Day?