Kila Machi 17 kwanini isiwe Magufuli Day?

Ili iweje maafrika ni mavivu sana , tunapenda kulala mno, watu walioendelea hawana muda wa kupumzika ndio maana wana maendeleo
 
Siungi mkono. Unaliona hilo rahisi lakini vizazi vijavyo vitashindwa kufanya kazi kwa wingi wa sikukuu. Miaka 200 ijayo mimi nawe hatutakuwepo. Marais zaidi ya 20 watakuwa wametawala na kufa. Kila mmoja akitengewa siku yake itakuwa ni shida. Hata jana lilitakiwa liwe ni tukio la kifamilia, na dini yao. Kitaifa itengwe siku moja ya kukumbuka wote, japo siku ya mashujaa inatosha.
 
Unataka siku za mapumziko
Ili iweje maafrika ni mavivu sana , tunapenda kulala mno, watu walioendelea hawana muda wa kupumzika ndio maana wana maendeleo
Kwani jana ilikuwa mapumziko au kuna sehemu nimeandika kumbukumbu yake iwe mapumziko?.
 
tarehe 17th.03.2022 inakuwa zimetimia siku 365 za mwaka toka alipofariki aliyekuwa Rais wa JMT JPM.

Naona hii siku March 17th iwe Magufuli Day kama itapendeza
Kwanza naunga mkono hoja, Ila hiyo tarehe 17, March 2021 ni siku alipotangazwa kuwa he died and not necessarily is the day.
P
 
Hao ni waangalia TBC. Ule uongo wa "tunatekeleza kwa kishindo"
 
Aisee usimseme sana asije akaamka tukaanza kuisoma namba upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…