Kila mdada mwenye makalio makubwa ana huyo rafiki yake mwembamba mwenye mdomo sana

Dah kuna kipindi nilipenda wadada wembamba ila niposoma kwa umakini humu,nikaona mbona kama vimbaumbau miyeyusho, hizo mambo zinaambukiza bwashee.
Nahisi Umeongea vizuri mkuu 🫰🀝🀝
 
Hao wadada wapo kwa ajili ya kukwamisha mission tu , huwa nafanya kuchukua namba zao wote kirafiki tu ,nikifika sehemu ya utulivu ndio naanza uchambuzi yakinifu.
Mwaka huu tu mwanzoni hii tabia ilinitokea puani.

Nilikutana na mrembo mwenye shepu lake kaambatana na kibetina kimekomaa icho kama kinakula sementi, kina mdomo hicho na gubu la hatari. Nikachukua namba za wote kuepusha shari. Bahati mbaya katika ku save haraka haraka nikajichanganya, namba ya mrembo nika save jina la kimbaumbau, na kimbaumbau nikasevu mrembo!

Huku na huku nikaanza kumwaga mitindo mi najua nachati na mrembo, naona napewa green lights nikasema yes mambo sindio haya? Huez amini mpaka tumepanga siku ya kunjunjana mi najua naenda kula yule mrembo!

Siku ya siku tumepanga nimpitie sehemu mi sina hili wala lile nafika iyo sehemu naangaza angaza macho nimuone mrembo, nashangaa nakiona kile kimburukutu ndio kinanikimbilia kwa bashasha tele!! Nilidata!

To cut the long story short, nilijikuta nalazimika kwenda kukila kile kibetina kwa mbinde sanaa na tangu hapo nika block namba zote sijawahi hata kutamani kuwasikia tena.
 
Shiii...

Nahitaji kimoja. Ila kisiwe na mgogoro wo wote; na isiwe mtu alishawahi kujenga hapo. Tuwasiliane πŸ™πŸΏ
Wewe unapenda shamba lenye rutuba, labda nikuunganishie shamba zuri lenye rutuba, eneo, mkoa wa miamba hutojuta yaani chuma chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…