Hakika wewe ni stability wa kizembe snaAisee ningejua hili basi nisingepoteza hili tipwa tipwa
wadada wembamba wameona hamuwapendi,Kamenibani kaka😔, mdada mwenyewe alikuwa ameisha itika
Dah kuna kipindi nilipenda wadada wembamba ila niposoma kwa umakini humu,nikaona mbona kama vimbaumbau miyeyusho, hizo mambo zinaambukiza bwashee.wadada wembamba wameona hamuwapendi,
wameamua wamwage mboga, mkose vyote.
Pumbavu.. 😹Hao wadada wapo kwa ajili ya kukwamisha mission tu , huwa nafanya kuchukua namba zao wote kirafiki tu ,nikifika sehemu ya utulivu ndio naanza uchambuzi yakinifu.
Hahahaha mbona wewe una tunyama 😁Pumbavu.. 😹
Watakuja tu....Wana visirani hao🤣🤣🤣
Yani mtu unajiita lamami ukose kuwa hivi kweli??🤔 Unatupiga fix🤣Hatimaye tumefikiwa vimbaumbau 😹😹
Tena mimi namwambia “Huyo kaka anayekuita aliwahi kuugua kichaa, akikung’ata tu kinahamia kwako” 🤣