Kila mdada mwenye makalio makubwa ana huyo rafiki yake mwembamba mwenye mdomo sana

Kila mdada mwenye makalio makubwa ana huyo rafiki yake mwembamba mwenye mdomo sana

Kabisa. Na nasemea kutokana na uzoefu. Nilikuwa na mwenye mzigo miaka ya nyuma na nilidumu naye. Ikatokea nikasafiri lakini bado nikawa nawasiliana naye. Akaja kufanya urafiki na chembamba mmoja, akawa anampelekesha kama gari. Mimi nikamwambia mwangalio huyo shoga yako, anakutumia kupata fedha, vinywaji na maslahi mengine kutoka kwa wanaume, hakunisikia. Ndivyo hivyo tena, wakajagombana baadae akataka turudiane nikamkatalia na kumkumbusha n nilivyomuonya hakusikia.
1. Mrembo+ sura ya baba
2. Mwenye taco+ mwembamba
Hizi colabo zipo sana lkn hawa chembamba na sura baba huwa wako kimaslahi kula kupitia hao wengine.
 
1. Mrembo+ sura ya baba
2. Mwenye taco+ mwembamba
Hizi colabo zipo sana lkn hawa chembamba na sura baba huwa wako kimaslahi kula kupitia hao wengine.
Hivi ni kwa nini wenye makalio makubwa mara nyingi huwa kichwani ni watupu sana? Mimi nadhani ni mazingira wanayokulia ya kupapatikiwa na wanaume wengi hivyo wanalemaa kichwani.
 
Back
Top Bottom