Kila mdada mwenye makalio makubwa ana huyo rafiki yake mwembamba mwenye mdomo sana

Kwamba yeye mwenye mzigo anatikisa zigo tu😁 ila akili ya tuende wapi ,tunase wapi ipo kwa mwembamba?
Kabisa. Na nasemea kutokana na uzoefu. Nilikuwa na mwenye mzigo miaka ya nyuma na nilidumu naye. Ikatokea nikasafiri lakini bado nikawa nawasiliana naye. Akaja kufanya urafiki na chembamba mmoja, akawa anampelekesha kama gari. Mimi nikamwambia mwangalio huyo shoga yako, anakutumia kupata fedha, vinywaji na maslahi mengine kutoka kwa wanaume, hakunisikia. Ndivyo hivyo tena, wakajagombana baadae akataka turudiane nikamkatalia na kumkumbusha n nilivyomuonya hakusikia.
 
Vikiwa vyembamba angalau basi viwe slimthick 👇👇👇

b9bc567d26e403f2b3f3b5095ce4fae1.jpg
 
Kabisa. Na nasemea kutokana na uzoefu. Nilikuwa na mwenye mzigo miaka ya nyuma na nilidumu naye. Ikatokea nikasafiri lakini bado nikawa nawasiliana naye. Akaja kufanya urafiki na chembamba mmoja, akawa anampelekesha kama gari. Mimi nikamwambia mwangalio huyo shoga yako, anakutumia kupata fedha, vinywaji na maslahi mengine kutoka kwa wanaume, hakunisikia. Ndivyo hivyo tena, wakajagombana baadae akataka turudiane nikamkatalia na kumkumbusha n nilivyomuonya hakusikia.
Hii ni kwel na wembamba wavutiwa kukaa na wenye zigo ili waokote😁
 
Back
Top Bottom