TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
Heka heka za kombe la dunia zikiwa zina endelea na nyuso za watu zikiwa zimejawa na furaha wakati huu wakiangalia timu zao pendwa zikiwa zinacheza soka safi. Kampuni yenu pendwa ya TECNO ambayo tunamiliki simu janja zinazo uzika sana mtaani tume amua kuendeleza furaha za wateja wetu kwa kuja na zigo la zawadi za simu ambazo zitagaiwa bure kabisa msimu huu wa kombe la dunia.
Kampuni ya TECNO tumefanya hivi kwa kujali furaha za watumiaji wa simu janja. Na tukiwa tunaelekea mwishoni mwa mwaka tukaona ni vyema tuki wafurahisha wateja wetu ambao wanajali na kupenda furaha za watu wao wa karibu.
Hivyo basi ukiwa kama mteja na mtumiaji wa simu janja unachotakiwa kukifanya ni kutembele kurasa za kijamaii za kampuni Yetu. Kisha ushiriki zoezi la kusambaza furaha kwa yule umpendae na kumjali na unataka kumzawadia simu mpya kutoka TECNO.