Kila mkipishana anatoa kauli hizi! Zimebeba ujumbe gani?

raiswenu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2018
Posts
848
Reaction score
1,535
Kila mkipishana tegemea kauli hizi kutoka kwake, uchambuzi wa hizi kauli;

1. kama kuna mahali unaandaliwa chakula tofauti na bajeti yetu ya kila mwezi ruksa katumie!

2. Sipo kwa ajili ya kukatisha imani yako but unaweza tenda vile unavyoona ni sahihi!

3. Be free with your things, me ni nani wa kukatisha mipango yako cha zaidi tuombeane heri!

Ni kama kuna ujumbe ndani yake.

Pia soma: Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths
 
Kwamba ninampq changamoto mtoto wa watu,au sijakuelewa?
Punguza gubu mkuu,usibishane nae sana,inaonekana wewe ni mtu wa kumlalamikia sana mpaka anajiona yeye ni kero kwako,unamuonyesha kua yeye ni kama kero kwenye maisha yako,

Sio lazima kila kitu uwe unamlalamikia,vingine potezea tu,kulalamika sana kutasababisha udharaulike ila kua kimya utaheshimika zaidi,

Hata hivyo inaonekana anakuvumilia sana ila muda si mrefu atachoka tu,kauli hizo zinamaanisha kua amechoka kukuvumilia,

Yangu ni hayo tu,

The rest it's up to you.
 
Mkuu mimi ni mtu mkimya sana, na ninajua kujitathmini. Kama tungegombana then kauli kama hizi zikatoka. Wala usingeniona hapa. Nimemwuliza kitu, kwanza hakujibu. Then kwa nyakati tofauti anatuma sms zenye hizo kauli. But ngoja nijichunguze tena mkuu kama gubu lipo niliondoe haraka sana
 
Mkuu mimi ni mtu mkimya sana, na ninajua kujitathmini. Kama tungegombana then kauli kama hizi zikatoka. Wala usingeniona hapa. Nimemwuliza kitu, kwanza hakujibu. Then kwa nyakati tofauti anatuma sms zenye hizo kauli.
Ni ngumu sana kuhukumu au kutoa ushauri kwenye kesi inayosikilizwa upande mmoja,

Anyway,wewe ndio kichwa cha Nyumba,kama umesha zaa nae,tunza wanao,kama hujazaa nae,sio mbaya kuachana ili kila mmoja wenu akaishi kwa amani.
 
Ni kweli, mengine taupe muda nafasi
 
Kila mkipishana tegemea kauli hizi kutoka kwake, uchambuzi wa hizi kauli;

1. kama kuna mahali unaandaliwa chakula tofauti na bajeti yetu ya kila mwezi ruksa katumie!

2. Sipo kwa ajili ya kukatisha imani yako but unaweza tenda vile unavyoona ni sahihi!

3. Be free with your things, me ni nani wa kukatisha mipango yako cha zaidi tuombeane heri!

Ni kama kuna ujumbe ndani yake.

Pia soma: Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths
Kauli ya kwanza ni kama yeye ndio anatoa fedha za msosi na wewe unaleta malalamiko kuhusu menyu, kakuruhusu uende huko unakoamini utakula vizuri zaidi.
 
Kila mkipishana tegemea kauli hizi kutoka kwake, uchambuzi wa hizi kauli;

1. kama kuna mahali unaandaliwa chakula tofauti na bajeti yetu ya kila mwezi ruksa katumie!

2. Sipo kwa ajili ya kukatisha imani yako but unaweza tenda vile unavyoona ni sahihi!

3. Be free with your things, me ni nani wa kukatisha mipango yako cha zaidi tuombeane heri!

Ni kama kuna ujumbe ndani yake.

Pia soma: Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths
Mtoa kauli anaonyesha vitu hivi

1.anawasiwasi na uthamani anaopewa (anahitaji kuthaminiwa)

2.kachoka kulalamika

3.kaanza kutazama njia nyingine

4.haogopi tena kupoteza

5.stage alofikia ni mwanzo wa stage ya ukimya kabisa ambayo ndy mbaya zaidi
 
Back
Top Bottom