Kila mkipishana anatoa kauli hizi! Zimebeba ujumbe gani?

Kila mkipishana anatoa kauli hizi! Zimebeba ujumbe gani?

1. Ni mambo ya kuzungumza tu wala siyo kwa kauli hizo
2. Huwa hatuna mizozo ya mara kwa mara
3. Huyu ni dizaini ya wanawake wenye wivu uliopitiliza, wakati mwingine huwa nadhani maybe hajiamini kutokana na matukio ya nyuma aliyowahi kufanya.nilisamehe for real.
why unajipakulia minyama tu peke yako? hii ni one sided story we wish tumsikie bibie nae ana yapi ya kusema, kama n mambo yakuzungumza kaeni myamalize
 
why unajipakulia minyama tu peke yako? hii ni one sided story we wish tumsikie bibie nae ana yapi ya kusema, kama n mambo yakuzungumza kaeni myamalize
Wala hatuna ugomvi kusema,ila hizo kauli sasa
 
Wakati mwingine ku define hisia za mwanamke ni ngumu sana. Hizi kauli zimenishtua
Iliwahi nitokea na kauli zilikua hizo hizo kama kuna vitu anaona mmemalizana ,nilipojua nikaanza mdogo mdogo kuchukua hatua.
 
Iliwahi nitokea na kauli zilikua hizo hizo kama kuna vitu anaona mmemalizana ,nilipojua nikaanza mdogo mdogo
Nilitaka none mtazamo wake kuhusu kauli zake, bila shaka ana plan
Screenshot_20240916_074928_#Mood.jpg
 
😀😀😀 your are so complicated, mbona hata siko hivyo madam
unajisahau sana gentleman, unajipulizia hadi pafyumu ya mchepuko?

lazima ukutane na hizo kauli, nahau , na misemo daily 🐒
 
unajisahau sana gentleman, unajipulizia hadi pafyumu ya mchepuko?

lazima ukutane na hizo kauli, nahau , na misemo daily 🐒
Siyo mchepuko umeni quote vibaya bibie😀😀😀 ni wife to be. Simtegemei kwa chochote, mimi ndio natoa huduma
 
Siyo mchepuko umeni quote vibaya bibie😀😀😀 ni wife to be. Simtegemei kwa chochote, mimi ndio natoa huduma
ndiyo,
unamnyanyasa sana kisaikolojia mwenzako, simu zake hupokei kwa wakati, wala sms zake hujibu chap chap kama zamani,

akikuomba bando sikuizi maneno na visingizio kibao, mara ooh, kuna mchongo nauskilizia ukitiki tu nakutumia,

mara ooh sijui leo jioni ndio tunalipwa ntakutumia usijali,

halafu ndio imetoka hiyo n.k....

unategemea katika mazingira hayo ukose hizo nahau kweli, badilika bana gentleman 🐒
 
😂😂😂 hizo ni tabia za teenagers sina. Niliposema nahudumia,nahudumia kweli. Bajeti ya mwezi mzima inatoka kwenye mfuko wangu.sijawahi kujua hata salary lake anatumiaje. Kuna kipindi nilifuma documents anekopa benk. Sijawahi kujua mpaka leo hela ilienda wapi😂😂😂
 
Back
Top Bottom