kwanza huyu mtu ni nani maan maan ya hayo maneno inategemea na huyo mtu ni nani kwako?Nadhani alimaanisha amani, nimeshindwa kuzielewa hizi kauli
Sasa kama ujaelewa hapo inabidi waje wenye C mbili .Kwamba ninampq changamoto mtoto wa watu,au sijakuelewa?
Punguza gubu mkuu,usibishane nae sana,inaonekana wewe ni mtu wa kumlalamikia sana mpaka anajiona yeye ni kero kwako,unamuonyesha kua yeye ni kama kero kwenye maisha yako,Kwamba ninampq changamoto mtoto wa watu,au sijakuelewa?
Mkuu mimi ni mtu mkimya sana, na ninajua kujitathmini. Kama tungegombana then kauli kama hizi zikatoka. Wala usingeniona hapa. Nimemwuliza kitu, kwanza hakujibu. Then kwa nyakati tofauti anatuma sms zenye hizo kauli. But ngoja nijichunguze tena mkuu kama gubu lipo niliondoe haraka sanaPunguza gubu mkuu,usibishane nae sana,inaonekana wewe ni mtu wa kumlalamikia sana mpaka anajiona yeye ni kero kwako,unamuonyesha kua yeye ni kama kero kwenye maisha yako,
Sio lazima kila kitu uwe unamlalamikia,vingine potezea tu,kulalamika sana kutasababisha udharaulike ila kua kimya utaheshimika zaidi,
Hata hivyo inaonekana anakuvumilia sana ila muda si mrefu atachoka tu,kauli hizo zinamaanisha kua amechoka kukuvumilia,
Yangu ni hayo tu,
The rest it's up to you.
Ni ngumu sana kuhukumu au kutoa ushauri kwenye kesi inayosikilizwa upande mmoja,Mkuu mimi ni mtu mkimya sana, na ninajua kujitathmini. Kama tungegombana then kauli kama hizi zikatoka. Wala usingeniona hapa. Nimemwuliza kitu, kwanza hakujibu. Then kwa nyakati tofauti anatuma sms zenye hizo kauli.
Ni kweli, mengine taupe muda nafasiNi ngumu sana kuhukumu au kutoa ushauri kwenye kesi inayosikilizwa upande mmoja,
Anyway,wewe ndio kichwa cha Nyumba,kama umesha zaa nae,tunza wanao,kama hujazaa nae,sio mbaya kuachana ili kila mmoja wenu akaishi kwa amani.
Kauli ya kwanza ni kama yeye ndio anatoa fedha za msosi na wewe unaleta malalamiko kuhusu menyu, kakuruhusu uende huko unakoamini utakula vizuri zaidi.Kila mkipishana tegemea kauli hizi kutoka kwake, uchambuzi wa hizi kauli;
1. kama kuna mahali unaandaliwa chakula tofauti na bajeti yetu ya kila mwezi ruksa katumie!
2. Sipo kwa ajili ya kukatisha imani yako but unaweza tenda vile unavyoona ni sahihi!
3. Be free with your things, me ni nani wa kukatisha mipango yako cha zaidi tuombeane heri!
Ni kama kuna ujumbe ndani yake.
Pia soma: Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths
Mtoa kauli anaonyesha vitu hiviKila mkipishana tegemea kauli hizi kutoka kwake, uchambuzi wa hizi kauli;
1. kama kuna mahali unaandaliwa chakula tofauti na bajeti yetu ya kila mwezi ruksa katumie!
2. Sipo kwa ajili ya kukatisha imani yako but unaweza tenda vile unavyoona ni sahihi!
3. Be free with your things, me ni nani wa kukatisha mipango yako cha zaidi tuombeane heri!
Ni kama kuna ujumbe ndani yake.
Pia soma: Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths
Huenda analishwa Ivo atulize mshonoKauli ya kwanza ni kama yeye ndio anatoa fedha za msosi na wewe unaleta malalamiko kuhusu menyu, kakuruhusu uende huko unakoamini utakula vizuri zaidi.