Kwa kifupi yupo na mimi ki mwili kiroho yuko kwingine.Mtoa kauli anaonyesha vitu hivi
1.anawasiwasi na uthamani anaopewa (anahitaji kuthaminiwa)
2.kachoka kulalamika
3.kaanza kutazama njia nyingine
4.haogopi tena kupoteza
5.stage alofikia ni mwanzo wa stage ya ukimya kabisa ambayo ndy mbaya zaidi
na wenda hata iyo kimwili ikawa haipo ukawa nay kama kivuli kinachotembea kulingana na majiraKwa kifupi yupo na mimi ki mwili kiroho yuko kwingine.
๐๐๐๐ nilimuuliza mbona unapika chakula cha aina moja kila siku. Ilihali nimenunua kila kinachohitajika.Kauli ya kwanza ni kama yeye ndio anatoa fedha za msosi na wewe unaleta malalamiko kuhusu menyu, kakuruhusu uende huko unakoamini utakula vizuri zaidi.
Hilo nalo nenoHuenda analishwa Ivo atulize mshono
Kama ingekuwa hivyo, asingesema hivyo. Jichunguze ni kama anakufuga afu umeanza kuleta mdomo.๐๐๐๐ nilimuuliza mbona unapika chakula cha aina moja kila siku. Ilihali nimenunua kila kinachohitajika.
Siku zote mwanamke anahitaji farajaMaybe. Nitajitafakari na kujifunza
Kuna kinachompa kiburi, nahitaji kujua. Sisi wote ni waajiliwa, bajeti yote huwa nabeba mimi. Inawezekana kuna kitu anaona simtendei haki but hayuko wazi. Nitaamuliza then mrejesho.Kama ingekuwa hivyo, asingesema hivyo. Jichunguze ni kama anakufuga afu umeanza kuleta mdomo.
Sawa kabisaTatizo hapa ni wewe mleta mada,
Hapa utapewa kila aina ya ushauri ila tatizo ni wewe,na wewe ndiye mwenye uwezo wa kuibadili hali hiyo,
Huyo Mwanamke hana furaha,kajikatia tamaa,hafurahii maisha tena kua na wewe,kila siku malalamiko tu,
Wakubwa tunaelewa,
Sio vibaya kuanza upya,badilika japo najua kwa mtu kama wewe kubadilika ni ngumu sana.
Wakati mwingine ku define hisia za mwanamke ni ngumu sana. Hizi kauli zimenishtuaHapo mzungumzaji anahisi anamfanyia hisani msikilizaji,kiufupi haridhishwi na mambo ,na mwisho elewa mwanamke akiwa hana hisia na wewe basi huna utakachoweza kubadilisha kwa hizo meseji jua ameshamove on muda mrefu kilichobaki ni mazoea.
Ujumbe ni kwamba umekuwa 'zebaki' - you can be any form, tofauti na zamani. Then, kuwa na hamsini zako as you wish kama unadhani hiyo ndiyo njia uliyoichagua. Kuna makosa mengi tunafanya, tusidhani "hana shida, atanielewa tu." Huo ndio mwanzo wa tatizo. Kwa wenye ndoa, ukianza kuona ukali unazidi kwa watoto, ujue something is not right somewhere. Haiwezekani wakati mwingine watoto mliowatafuta miaka nenda rudi, all of a sudden wawe wa kutukanwa, kuamrishwa wafanye hiki au kile na kupigwa - asubuhi, mchana na jioni - na kila siku! Hapo shida si kwa watoto, shida iko sehemu nyingine na watoto wanakuwa tu 'scapegoat'.Kila mkipishana tegemea kauli hizi kutoka kwake, uchambuzi wa hizi kauli;
1. kama kuna mahali unaandaliwa chakula tofauti na bajeti yetu ya kila mwezi ruksa katumie!
2. Sipo kwa ajili ya kukatisha imani yako but unaweza tenda vile unavyoona ni sahihi!
3. Be free with your things, me ni nani wa kukatisha mipango yako cha zaidi tuombeane heri!
Ni kama kuna ujumbe ndani yake.
Pia soma: Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths
WordUjumbe ni kwamba umekuwa 'zebaki' - you can be any form, tofauti na zamani. Then, kuwa na hamsini zako as you wish kama unadhani hiyo ndiyo njia uliyoichagua. Kuna makosa mengi tunafanya, tusidhani "hana shida, atanielewa tu." Huo ndio mwanzo wa tatizo. Kwa wenye ndoa, ukianza kuona ukali unazidi kwa watoto, ujue something is not right somewhere. Haiwezekani wakati mwingine watoto mliowatafuta miaka nenda rudi, all of a sudden wawe wa kutukanwa, kuamrishwa wafanye hiki au kile na kupigwa - asubuhi, mchana na jioni - na kila siku! Hapo shida si kwa watoto, shida Iko sehemu nyingine na watoto wanakuwa tu 'scapegoat'.
mbona iko wazi sana gentleman,Kila mkipishana tegemea kauli hizi kutoka kwake, uchambuzi wa hizi kauli;
1. kama kuna mahali unaandaliwa chakula tofauti na bajeti yetu ya kila mwezi ruksa katumie!
2. Sipo kwa ajili ya kukatisha imani yako but unaweza tenda vile unavyoona ni sahihi!
3. Be free with your things, me ni nani wa kukatisha mipango yako cha zaidi tuombeane heri!
Ni kama kuna ujumbe ndani yake.
Pia soma: Wadada wenye tabia hizi nawachulia kama Sociopaths
1. Ni mambo ya kuzungumza tu wala siyo kwa kauli hizombona kauli laini sana hizo ni kutokana na vitendo vyako
1. anapika kile ulichomletea sio tofauti na hapo kwamba ungetaka vizuri zaidi ugharamie au kuna sehem unakula vizuri unamlinganisha na yeye wakat huku anapika unacholeta
2. hataki kua mtu wa mizozo, kukukera, kukunyima amani kwamba you are free umuache aende asiwe sababu ya we kukosa aman kama humtaki achana naye
3.kuna vitu unafanya kwa kujificha, uelewe sisi ni zaidi ya fbi hasa tukisha smell something fishy, huyo kuna kitu kakiona kwako wewe unaficha ukijua hujulikani kumbe mwenzio zamani kakuzoom na umejaa sasa anakwambia hapo alipofika hata ukienda ni sawa tu aloo jitafakari mkaka una shida mahali huyo mwnamke amechoka au kukuchoka tayar angalia wapi unakosea urekebishe hana maumivu yoyote yale hata mkiachana leo pole ukweli unauma.
๐๐๐ your are so complicated, mbona hata siko hivyo madammbona iko wazi sana gentleman,
ni kwamba taibia yake na yako havisikilizani kabisa๐
Imani yake kwako ni haba na sinkwamba ni muhimu saaana uwepo au usiwepo nae..
Infact,
thanani za utu wenu ni tofauti sana, hazilandani kabisa. ni mpaka angalau mzisawazishe kidogo ndipo mpate wasaa wa kusonga mbele pamoja...
Otherwise,
acha kuchepuka wazi wazi angalau basie msosi kula home sio kwa mchepuko ๐